Wakati serikali ikishirikiana na wahisani mbalimbali wa afya katika kuondoa changamoto ya ugonjwa wa malaria unaoenezwa na Mmbu jike aitwaye anofeles,  baadhi ya wakazi wa Manispaa ya kigoma ujiji wamekuwa wakitumia vyandarua  kuhifadhi vifaranga vya kuku ili wasiliwe na mwewe,picha kama ambavyo imenaswa na mpiga picha wetu Magreth Magosso kigoma Chandarua kikitumika kuwalinda Vifaranga hao wasiliwe na Mwewe,kimsingi Elimu bado inahitajika kwa jamii katika suala zima la matumizi bora na sahihi ya Vyandarua katika suala zima la kupambana na ugonjwa wa Malaria. 

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 1 mpaka sasa

  1. Unajuaje labda wanapokezana mchana kuku na jioni anaitumia mwenyewe???Ikithibitika kua hatumii chandarua na badala yake anaitumia kwa matumizi mengine yasiyokusudiwa ni kosa!

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...