Ndizi zikiwa tayari kuuzwa kwa watumiaji wa mikoani. Ndizi nyingi zinapelekwa jiji la dar es salaam kutoka katika soko hili

huu ndo msimu wake



wamama wa kichagga wakitafuta mlo wa leo katika biashara ya ndizi P

PICHA ZOTE NA JOSEPH MASUE

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 13 mpaka sasa

  1. jAMANI HEBU ANGALIENE MAZINGIRA YA MOSHI NA YA BABATI, MOSHI NI HABARI NYINGINE TUNAPOSEMA KUHUSU TANZANIA JAMANI! NA NDO UKWELI

    ReplyDelete
  2. AnonymousJuly 10, 2012

    mkiweza kuleta hayo maparachichi hapa London nilipo mngepata kiasi cha TSh1000 kwa bei ya jumla kila parachichi moja kubwa lenye kuanzia 200gm.
    Mdau UK

    ReplyDelete
  3. AnonymousJuly 10, 2012

    Mngeweza kuniletea hizo ndizi za mtori na machalari hapa London ningefurahi mno maanake nimezimisi hasa kitawa, mangi mmh, hadi mate ya utamu yananidondoka

    ReplyDelete
  4. AnonymousJuly 10, 2012

    Wewe mdau wa pili unataka kuwatia Changa la macho parachichi moja unaweza kupata tsh 3000-4000 hapa London ila yanatakiwa kupekiwa vizuri kwa standard ya ulaya Karibuni mutafanikiwa huku kila kitu pesa!!!!!

    ReplyDelete
  5. AnonymousJuly 10, 2012

    wewe mdau wa uk una akili kweli wewe au unatujulisha tu kuwa wewe ni mtumwa huko uliko

    ndio utumbo gani unatuandikia hapa jinga kubwa wee

    ReplyDelete
  6. AnonymousJuly 10, 2012

    We Mdau wa london,hayo maparachichi adi yafike,uko yatakuwa yameozea njiani,Aiseee pangekuwa sio mbali kiasi hicho mimi ningeshushaa,huo mzigo maana ninayo ya hatari sana...!

    Mdau Mwika

    ReplyDelete
  7. AnonymousJuly 10, 2012

    Shimboni shafo meku!
    Maparachichi ni bei gani kweli?
    Hapa ni pilika pilika za biashara hakuna kulala mtu.

    ReplyDelete
  8. AnonymousJuly 10, 2012

    Hata wewe michuzi unaendesha sera ya ukabila ,Umendika" mama wa Kichagga akitafuta mlo wa leo" Hivyo Mama mmoja isingetosha ? Blugs ziwe pia za kuelimiha siyo za kupotosha jamii

    ReplyDelete
  9. AnonymousJuly 11, 2012

    NIMEKUMBUKA NIMETAMANI MY HOME TOWN,MAPARACHICHI NDIZI POMBE.MWIKA JUUUUUU.MDAU LONDON.

    ReplyDelete
  10. AnonymousJuly 11, 2012

    Wewe unaemcriticize Michuzi ndio mkabila wa kwanza! Get a life, nuksi wewe! Muda wote mmekalia ukabila na udini! Mxiuuuuuu! nenda shule uelimike, ujue nini cha kuongea kwenye public! mnaudhiu sana!!!

    Eddy
    Van.

    ReplyDelete
  11. AnonymousJuly 11, 2012

    Hivi huyu mdau aliyesema mazingira ya moshi sijui na babati,mbona point yako haileweki yaani mazingira masafi sana au watu wa kule wanajua sana biashara.

    ReplyDelete
  12. AnonymousJuly 11, 2012

    natamani kungekuwa na kupress like...nimekumbuka mwika madukani....eishhhhhhh

    ReplyDelete
  13. AnonymousJuly 23, 2014

    Du!! nimekumbuka sana kwetu Mwika. Mwika ni kuzuri sana. Hapo ni biashara kwa kwenda mbele. Mungu awabariki wote wanaoendelea kutumia soko hilo. Mwishowe naomba lijengwe liwe la kimataifa. Mdau wa Mwika

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...